Maelezo ya Chini
a Katika karne ya tatu K.W.K., Mgiriki aliyeitwa Aristarchus kutoka Samos alianzisha nadharia ya kwamba jua ndilo kitovu cha ulimwengu, lakini maoni yake yalikataliwa na yale ya Aristotle yakakubaliwa.