Maelezo ya Chini a Makala hii ilipokuwa ikitayarishwa, Erna Ludolph alikufa akiwa na umri wa miaka 96. Alikuwa mwaminifu hadi kifo.