Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Wasomi fulani wanasema kwamba kuanguka kwa shomoro chini huenda hakumaanishi kufa tu. Wanasema kwamba neno la lugha ya awali huenda linamaanisha ndege kutua chini ili kutafuta chakula. Ikiwa ni hivyo, basi ingemaanisha kwamba Mungu humkazia uangalifu na kumjali ndege huyo katika maisha ya kila siku, si wakati tu anapokufa.—Mathayo 6:26.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki