Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Fidia iliyolipwa ilikuwa uhai mkamilifu wa mwanadamu kwa sababu Adamu alipoteza uhai mkamilifu wa mwanadamu. Kwa kuwa watu wote walikuwa wenye dhambi, hakuna mwanadamu yeyote asiyekamilika ambaye angeweza kulipa fidia. Hivyo, Mungu alimtuma Mwana wake kutoka mbinguni kwa kusudi hilo. (Zaburi 49:7-9) Maelezo zaidi kuhusu habari hiyo yanapatikana katika sura ya 7 ya kitabu Ujuzi Uongozao Kwenye Uhai Udumuo Milele, kilichochapishwa na Mashahidi wa Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki