Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kabla ya mapinduzi ya Oktoba 1917, Warusi walikuwa wakitumia kalenda ya kale ya Yulio, lakini nchi nyingi zilikuwa zimeanza kutumia kalenda ya Gregory. Mnamo 1917 kalenda ya Yulio ilikuwa nyuma ya ile ya Gregory kwa siku 13. Baada ya mapinduzi, Wasovieti walianza kutumia kalenda ya Gregory na hivyo Urusi ikaanza kutumia kalenda ileile iliyotumiwa ulimwenguni pote. Hata hivyo, Kanisa Othodoksi liliendelea kutumia kalenda ya Yulio kwa ajili ya sherehe zao, na kuiita kalenda ya “Mtindo wa Kale.” Huenda umesikia kwamba huko Urusi Krismasi husherehekewa Januari 7. Hata hivyo, kumbuka kwamba Januari 7 katika kalenda ya Gregory ni Desemba 25 katika kalenda ya Yulio. Hivyo, Warusi wengi hupanga majira yao ya sikukuu hivi: Desemba 25, Krismasi ya Magharibi; Januari 1, sherehe isiyo ya kidini ya Mwaka Mpya; Januari 7, Krismasi ya Kanisa Othodoksi; Januari 14, sherehe ya Mwaka Mpya inayofuata Mtindo wa Kale.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki