Maelezo ya Chini
a “Kaisari” huyo ambaye wakuu wa makuhani walimwunga mkono hadharani katika pindi hiyo alikuwa Maliki Mroma Tiberio aliyedharauliwa na watu na aliyekuwa mnafiki na muuaji. Tiberio alijulikana pia kwa mazoea yake machafu ya ngono.—Danieli 11:15, 21.