Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Wakati mikate miwili iliyotiwa chachu ilipotolewa kama toleo la kutikisa, mara nyingi kuhani aliibeba mikate hiyo kwenye viganja vyake, kisha akainua mikono yake na kuipeleka mikate hiyo huku na huku. Tendo hilo la kutikisa lilifananisha kutolewa kwa vitu vilivyotolewa dhabihu kwa Yehova.—Ona Insight on the Scriptures, Buku la 2, ukurasa wa 528 au Étude Perspicace des Écritures, Buku la 2, ukurasa wa 850, lililochapishwa na Mashahidi wa Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki