Maelezo ya Chini
a Kufikia mwaka wa 1835, Biblia ilikuwa imetafsiriwa katika Kimalagasi, lugha ya Madagaska, na kufikia mwaka wa 1840, katika Kiamhara, lugha ya Ethiopia. Lugha ya Kimalagasi na ya Kiamhara zilianza kuandikwa muda mrefu kabla Biblia haijatafsiriwa katika lugha hizo.