Maelezo ya Chini
a Sayari nne zilizo ndani zaidi ya mfumo wetu wa jua, yaani, Zebaki, Zuhura, Dunia, na Mihiri, zinawekwa katika kikundi kimoja kwa sababu zina miamba. Sayari kubwa zilizo nje, yaani, Sumbula, Sarateni, Zohali, na Kausi, zimefanyizwa hasa kwa gesi.