Maelezo ya Chini
a Kwa masimulizi kamili kuhusu mateso hayo, ona Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova cha Kiingereza au cha Kifaransa cha 1983 (Angola), 1972 (Chekoslovakia), 2000 (Jamhuri ya Cheki), 1992 (Ethiopia), 1974 na 1999 (Ujerumani), 1982 (Italia), 1999 (Malawi), 2004 (Moldova), 1996 (Msumbiji), 1994 (Poland), 1983 (Ureno), 1978 (Hispania), 2002 (Ukrainia), na 2006 (Zambia).