Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Ili astahili kupata mapendeleo katika kutaniko la Kikristo, mwanamume hapaswi kuwa “mwenye kupiga watu,” yaani, kuwapiga kihalisi au kwa maneno. Hivyo, gazeti la Mnara wa Mlinzi la Septemba 1, 1990 (1/9/1990), linasema hivi katika ukurasa wa 25: “Ikiwa amefunga ndoa, mwanamume hastahili ikiwa atenda kwa njia ya kimungu mahali penginepo lakini ni mbabe nyumbani.”—1 Timotheo 3:2-5, 12.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki