Maelezo ya Chini
a Wakati huo, sehemu ya mashariki ya kisiwa hicho ilikuwa imegawanywa mara mbili. Sehemu ya kusini ilikuwa Papua na ya kaskazini ilikuwa New Guinea. Leo, sehemu ya magharibi ya kisiwa hicho inaitwa Papua, nayo ni sehemu ya Indonesia, na sehemu ya mashariki inaitwa Papua New Guinea.