Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Maandiko yanatumia neno “nuru” kwa njia mbalimbali za mfano. Kwa mfano, Biblia inamhusianisha Mungu na nuru. (Zaburi 104:1, 2; 1 Yohana 1:5) Mafundisho ya kiroho kutoka katika Neno la Mungu yanafananishwa na nuru. (Isaya 2:3-5; 2 Wakorintho 4:6) Wakati wa huduma yake duniani, Yesu alikuwa nuru. (Yohana 8:12; 9:5; 12:35) Wafuasi wa Yesu waliamriwa waache nuru yao iangaze.—Mathayo 5:14, 16.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki