Maelezo ya Chini
b Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu ni shirika la Baraza la Ulaya ambalo linatoa maamuzi kunapokuwa na mashtaka kuhusu uvunjaji wa Mkataba wa Ulaya wa Kulinda Haki za Kibinadamu na Haki za Msingi. Georgia ilitia sahihi mkataba huo Mei 20, 1999, na hivyo ikakubali kuunga mkono matakwa yake.