Maelezo ya Chini
b Zamani gazeti hili lilieleza kwamba mbegu inawakilisha sifa mbalimbali za watu ambazo zinahitaji kukua na kukomaa, ikitegemea hali za mazingira. Hata hivyo, tunapaswa kutilia maanani kwamba katika mfano wa Yesu mbegu haibadiliki na kuwa mbegu mbaya au tunda ambalo limeoza. Inakua tu na kukomaa.—Ona Mnara wa Mlinzi, Desemba 1, 1980 (1/12/1980), ukurasa wa 14-16 au Juni 15, 1980 (15/6/1980), (Kiingereza) ukurasa wa 17-19 au Septemba 15, 1980 (15/9/1980), (Kifaransa) ukurasa wa 17-19.