Maelezo ya Chini
a Ona tofauti kati ya andiko hilo na simulizi la safari ya mapema zaidi: “Maria akaondoka . . . akaenda” kumtembelea Elisabeti. (Luka 1:39) Wakati huo, akiwa mwanamke anayechumbiwa ambaye hakuwa ameolewa, Maria angeweza kusafiri bila kumwuliza Yosefu. Lakini baada ya kuolewa, ingawa walisafiri pamoja inasemekana kwamba Yosefu ndiye aliyefanya uamuzi wa kusafiri, si Maria.