Maelezo ya Chini
c Kwa kuwa wachungaji hao walikuwa wakiishi nje na mifugo yao, hilo linathibitisha kile ambacho kinasemwa na kronolojia ya Biblia: Kristo hakuzaliwa Desemba (Mwezi wa 12) wakati ambapo mifugo ingekuwa imefungiwa nyumbani, bali alizaliwa mwanzoni mwa Oktoba.