Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Neno la Kiebrania “samaki,” lilitafsiriwa katika Kigiriki kuwa “mnyama mkubwa wa baharini,” au “samaki mkubwa.” Ingawa hakuna njia ya kuthibitisha ni kiumbe gani wa baharini anayetajwa, imegunduliwa kwamba katika Bahari ya Mediterania kuna papa wakubwa wanaoweza kummeza mtu mzima. Kuna papa wakubwa zaidi katika maeneo mengine. Kwa mfano, papa-nyangumi anaweza kukua kufikia urefu wa mita 15 au zaidi!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki