Maelezo ya Chini
c Huenda jambo hilo likashangaza, lakini lilitukia katika siku za kale. Mwanahistoria Mgiriki Herodoto alisema kwamba Waajemi wa kale waliomboleza kifo cha jenerali maarufu kwa kuhusisha wanyama wa kufugwa katika desturi za kuomboleza.