Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Inaelekea kwamba Daudi alihisi kwamba kuwalinda wakulima Waisraeli na mifugo yao ilikuwa sehemu ya utumishi wake kwa Yehova Mungu. Katika siku hizo, Yehova alikusudia kwamba wazao wa Abrahamu, Isaka, na Yakobo waishi katika eneo hilo. Hivyo, kulinda eneo hilo kutokana na wageni wenye kuvamia na vikundi vya waporaji ilikuwa sehemu ya utumishi mtakatifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki