Maelezo ya Chini
a Baada ya kutoka Misri, Waisraeli walikuwa tayari kuingia Kanaani, nchi ambayo Mungu alikuwa amemwahidi Abrahamu. Lakini wapelelezi kumi walipoleta ripoti mbaya, watu walianza kunung’unika dhidi ya Musa. Kwa hiyo, Yehova alisema kwamba walipaswa kukaa nyikani kwa miaka 40—muda wa kutosha kwa kizazi hicho kilichoasi kufa.