Maelezo ya Chini
a Tischendorf anajulikana kuwa ndiye aliyegundua moja kati ya hati za zamani sana za tafsiri ya Kigiriki ya Maandiko ya Kiebrania katika makao ya watawa ya Mt. Catherine yaliyo chini ya Mlima Sinai. Hati hiyo inaitwa Kodeksi ya Sinai.