Maelezo ya Chini
b Desturi zilizoelezwa katika habari hii zinatofautiana katika sehemu mbalimbali za Asia, lakini zinategemea mawazo yaleyale ya kale. Kwa habari zaidi, ona gazeti la Amkeni! la Desemba 8, 1987 (8/12/1987), ukurasa wa 26, 27; Desemba 22, 1986, ukurasa wa 20, 21, (la Kiingereza), na Januari 8, 1970, ukurasa wa 9-11, (la Kiingereza).