Maelezo ya Chini
b Tatizo lingine kuhusu maandishi ya Kiapokrifa ni kwamba nakala zilizobaki ni chache sana. Injili ya Maria Magdalene iliyotajwa mwanzoni mwa habari hii inapatikana katika vipande viwili tu vidogo na kipande kikubwa zaidi hakina nusu ya maandishi yaliyoandikwa kwanza. Kwa kuongezea, kuna tofauti kubwa katika hati zilizopo.