Maelezo ya Chini
a Katika siku za Marko ilikuwa kawaida kwa watu kukubali au kuwa na jina la pili la Kiebrania au la kigeni. Jina la Kiyahudi la Marko lilikuwa Yohanan, yaani, Yohana katika Kiswahili. Jina lake la Kilatini lilikuwa Marcus, au Marko.—Mdo. 12:25.