Maelezo ya Chini
a Trisomy 21 ni ugonjwa ambao mtu anazaliwa nao na unasababisha mtu kuwa na akili punguani. Kwa kawaida chembe za kromosomu zinakuwa mbili-mbili au pea, lakini watoto wanaozaliwa na ugonjwa huo wana kromosomu ya ziada kwenye pea moja. Ugonjwa huo unavuruga kromosomu ya 21.