Maelezo ya Chini
c Ripoti hiyo katika Kitabu cha Mwaka cha SIPRI cha 2009 iliandikwa na Shannon N. Kile, mtafiti mkuu na msimamizi wa mradi wa silaha za nyuklia wa Kitengo cha SIPRI cha Kudhibiti na Kuzuia Kuenea kwa Silaha; Vitaly Fedchenko, mtafiti wa Kitengo cha Kudhibiti na Kuzuia Kuenea kwa Silaha; na Hans M. Kristensen, mkurugenzi wa mradi wa kutoa habari za mambo ya nyuklia wa Shirika la Wanasayansi wa Marekani.