Maelezo ya Chini
a Wanadhiri walikuwa chini ya nadhiri iliyowakataza kunywa vileo na kunyoa nywele zao. Wengi wao walikuwa Wanadhiri kwa muda fulani hususa, lakini wachache kati yao kama Samsoni, Samweli, na Yohana Mbatizaji, walikuwa Wanadhiri katika maisha yao yote.