Maelezo ya Chini
e Jambo la kushangaza ni kwamba wanasayansi wa kisasa wa mambo ya kitiba wamegundua kwamba ubavu una uwezo usio wa kawaida wa kujirekebisha. Tofauti na mifupa mingine, ubavu una uwezo wa kukua tena ikiwa tishu inayouunganisha na uti wa mgongo haikukatwa.