Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Mazungumzo ya Yesu na Petro yalihusu kumtambua Kristo na jukumu lake, na si kuhusu jukumu ambalo Petro angetimiza. (Mathayo 16:13-17) Baadaye, Petro mwenyewe alisema kwamba Yesu ndiye mwamba ambao juu yake kutaniko lingejengwa. (1 Petro 2:4-8) Mtume Paulo alithibitisha kuwa Yesu, wala si Petro, ndiye “jiwe la msingi la pembeni” la kutaniko la Kikristo.—Waefeso 2:20.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki