Maelezo ya Chini
a Hekaya za Wagiriki zinasema kwamba huko Gordium, mji mkuu wa Frigia, gari la kukokotwa la mwanzilishi wa mji huo aliyeitwa Gordius, lilikuwa limefungwa kwa fundo tata sana kwenye nguzo fulani, na yeyote ambaye angelifungua angeshinda Asia wakati ujao.