Maelezo ya Chini
b Mfalme aliwaruhusu Wayahudi waendelee kupigana na adui zao kwa siku nyingine mbili ili wawashinde kabisa. (Esta 9:12-14) Mpaka leo, Wayahudi husherehekea ushindi huo kila majira ya kuchipua katika sherehe inayoitwa Purimu, ambayo ilipata jina kutokana na kura ambayo Hamani alipiga alipokuwa akipanga kuwaangamiza Waisraeli.