Maelezo ya Chini
a Kinahuatl ni moja kati ya lugha mbalimbali zinazotumiwa na jamii za wenyeji wa Amerika Kaskazini kama vile Hopi, Shoshone, na Comanche. Kiingereza kimekopa maneno mengi kutoka Kinahuatl, kama vile avocado (parachichi), chocolate (chokoleti), coyote (koyoti), na tomato (nyanya).