Maelezo ya Chini
a Karne kadhaa mapema, katika mwaka wa 997 K.W.K., Waisraeli waligawanyika na kuwa falme mbili. Kulikuwa na ufalme wa kusini, yaani, ufalme wa Yuda uliokuwa na makabila mawili. Na ufalme wa kaskazini wa Israeli wenye makabila kumi, ambao pia uliitwa Efraimu, kwa sababu ndilo lililokuwa kabila kubwa zaidi.