Maelezo ya Chini
a Ebed-meleki anaitwa “towashi.” (Yeremia 38:7) Ingawa kihalisi jina hilo lilimaanisha mwanamume aliyevunjwa mapumbu, lilitumika pia kwa njia pana kumaanisha ofisa yeyote aliyepewa kazi katika makao ya mfalme.