Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Kama Naomi alivyosema, Yehova hawaonyeshi tu fadhili walio hai; bali pia watu waliokufa. Naomi alikuwa amefiwa na mumewe na wanawe wawili. Naye Ruthu alikuwa amefiwa na mumewe. Bila shaka, wanaume hao watatu walipendwa sana na wanawake hawa wawili. Fadhili zozote ambazo Ruthu na Naomi walionyeshwa, zilikuwa fadhili kuelekea wanaume hao ambao pia wangetaka wanawake hawa wapendwa watunzwe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki