Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Maneno “kuwekwa msingi wa ulimwengu” yanahusiana na wazo la kupanda mbegu, yakimaanisha kuzaa, hivyo yanahusiana na mzao wa kwanza kabisa wa wanadamu. Hata hivyo, kwa nini Yesu alihusianisha Abeli na “kuwekwa msingi wa ulimwengu” na si Kaini, ambaye alikuwa mwanadamu wa kwanza kuzaliwa? Maamuzi na matendo ya Kaini yalitokeza uasi wa kimakusudi dhidi ya Yehova Mungu. Kama tu wazazi wake, inawezekana kwamba Kaini hana tumaini la kukombolewa na kufufuliwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki