Maelezo ya Chini d Herode Agripa alifungwa kambini humo na Kaisari Tiberio mwaka wa 36 au 37 W.K. kwa sababu ya kusema kwamba huenda Kaligula angekuwa maliki. Kaligula alipowekwa kuwa maliki, alimpa Herode zawadi kwa kumchagua awe mfalme.—Mdo. 12:1.