Maelezo ya Chini
a Ugonjwa wa Laurence-Moon-Bardet-Biedl syndrome uliitwa hivyo kutokana na majina ya madaktari wanne waliogundua ugonjwa huo unaosababishwa na kurithi chembe zenye kasoro kutoka kwa wazazi wote wawili. Leo, ugonjwa huo unaitwa Bardet-Biedl syndrome. Ugonjwa huo hauna tiba.