Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Fungu la 8: Tukio moja linalotajwa katika mistari hiyo ni ‘kukusanywa kwa waliochaguliwa.’ (Mt. 24:31) Hivyo, inaonekana kwamba watiwa-mafuta wote ambao bado watakuwa duniani baada ya sehemu ya kwanza ya dhiki kuu kupita, watainuliwa kwenda mbinguni wakati fulani kabla ya kuanza kwa vita vya Har–Magedoni. Maelezo hayo yanarekebisha habari iliyotajwa katika “Maswali Kutoka kwa Wasomaji” katika gazeti la Mnara wa Mlinzi, Agosti 15, 1990, ukurasa wa 30.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki