Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

f Fungu la 16: Andiko la Danieli 12:3 linasema kwamba “wale walio na ufahamu [Wakristo watiwa-mafuta] watang’aa kama mwangaza wa anga.” Wakiwa wangali duniani, wanang’aa kwa kushiriki katika kazi ya kuhubiri. Hata hivyo, Mathayo 13:43 linataja wakati ambapo watang’aa kwa uangavu katika Ufalme wa mbinguni. Awali, tulifikiri kwamba maandiko hayo mawili yalirejelea utendaji uleule, yaani, kazi ya kuhubiri.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki