Maelezo ya Chini
b Katika Biblia, mara nyingi nambari saba humaanisha kitu kilichokamilika. Nyakati nyingine nambari nane, yaani, saba ukiongeza moja, humaanisha wingi.