Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kama tunavyosoma katika Matendo 20:29 na 30, Paulo alisema kwamba ‘watu wangesimama kutoka katika makutaniko ya Kikristo na kusema mambo yaliyopotoka ili kuwavuta wanafunzi wawafuate wao wenyewe.’ Historia inathibitisha kwamba baada ya muda kulikuwa na tofauti kubwa kati ya makasisi na watu wa kawaida. Kufikia karne ya tatu W.K., makasisi wa dini zinazodai kuwa za Kikristo walidhihirisha wazi kwamba walikuwa yule “mtu wa uasi-sheria.”—Tazama Mnara wa Mlinzi, Februari 1, 1990, ukurasa wa 10-14.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki