Maelezo ya Chini
a Msomi Mjerumani Heinrich Meyer anasema hivi: “Kwa kuwa . . . mwili wa Yesu haukuwa umevunjwa (bado alikuwa hai), na bado damu Yake haikuwa imemwagwa, hakuna mgeni yeyote [mitume] angefikiri . . . kwamba walikuwa wakila na kunywa kihalisi mwili na damu halisi ya Bwana, [kwa hiyo] Yesu Mwenyewe hakukusudia maneno Yake rahisi yaeleweke isivyofaa.”