Maelezo ya Chini
a Baridi yabisi ya utotoni ni ugonjwa wa mifupa na viungio unaoathiri watoto. Badala ya kulinda mwili, mfumo wa kinga unashambulia na kuharibu tishu mwilini, na hivyo kusababisha maumivu na uvimbe kwenye viungio.