Maelezo ya Chini
a Masimulizi ya maisha ya baadhi ya ndugu hao yanapatikana katika matoleo yafuatayo ya Kiingereza ya Mnara wa Mlinzi: Thomas J. Sullivan (Agosti 15, 1965); Klaus Jensen (Oktoba 15, 1969); Max Larson (Septemba 1, 1989, pia Kiswahili); Hugo Riemer (Septemba 15, 1964); na Grant Suiter (Septemba 1, 1983 au Oktoba 1, 1984, Kiswahili).