Maelezo ya Chini
b Kila mara waliposafiri kwenda Misri, huenda wana wa Yakobo walikaa mbali na familia zao kwa muda usiozidi majuma matatu. Baadaye, Yakobo na wanawe walihamia Misri pamoja na wake na watoto wao.—Mwa. 46:6, 7.