Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Katika mfano huo, muda fulani unapita kati ya kutolewa kwa ule mwito, “Huyu hapa bwana-arusi!” (mstari wa 6) na kuja au kuwasili kwa bwana-arusi (mstari wa 10). Katika kipindi chote cha siku za mwisho, watiwa-mafuta walio macho wametambua ishara ya kuwapo kwa Yesu. Kwa hiyo, wanajua kwamba Yesu yuko “hapa,” yaani, anatawala akiwa Mfalme. Hata hivyo, wanapaswa kuendelea kukesha hadi atakapokuja, au atakapowasili.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki