Maelezo ya Chini
b Wimbo wa Debora unaonyesha kwamba mara nyingi Sisera alirudi kutoka katika uvamizi wa kijeshi akiwa na mali alizopata zilizotia ndani wasichana, na pindi fulani alimpa kila mwanajeshi msichana zaidi ya mmoja. (Waamuzi 5:30) Usemi ‘tumbo la uzazi,’ lililotumika katika mstari huo linaonyesha kwamba wanawake hao walithaminiwa tu kwa sababu ya viungo vyao vya uzazi. Inaonekana kwamba lilikuwa jambo la kawaida kwa wasichana kubakwa.