Maelezo ya Chini
a Kulingana na uchunguzi uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew Research Center katika mwaka wa 2012, asilimia 11 ya watu nchini Marekani wanaoamini kwamba hakuna Mungu au wanaoamini kwamba mambo yake hayawezi kujulikana, husali angalau mara moja kwa mwezi.